Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amekutana na kuzungumza na Mratibu Mkazi wa Umoja wa Mataifa nchini Bi.
Susan Namondo, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amekutana na kuzungumza na Balozi wa Japan hapa nchini anayemaliza muda
wake Mhe. Yasushi Misawa, Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari,
2025.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
amekutana na kuzungumza na Afisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya NMB Tanzania
Bi. Ruth Zaipuna Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 13 Januari, 2025.