Mwenyekiti wa Tume huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele (kulia) akiongoza kikao cha Tume Dar es Salaam leo Machi 10,2025. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (kulia) akiongoza kikao cha Tume kilicjhokutana Mkoani Dar es Salaam leo Machi 10,2025. Pamoja nae ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufani (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele (kushoto) akiongoza kikao cha Tume kilicjhokutana Mkoani Dar es Salaam leo Machi 10,2025. Pamoja nae ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ndg. Kailima Ramadhani. (Picha na INEC).
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Mhe Jaji wa Rufani Jacobs Mwambegele akiongoza kikao cha Tume kilicjhokutana Mkoani Dar es Salaam leo Machi 10,2025. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa Tume, Mhe. Jaji wa Rufani (Mstaafu) Mbarouk Salim Mbarouk na kulia ni Katibu wa Tume na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ndg. Kailima Ramadhani. (Picha na INEC).