KAIMU Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET),Dkt.Jofrey Oleke,akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kufungua Warsha ya Wadau kuhusu kupitia Kanuni za Udahili wa Wanafunzi,Mitihani,Usajili wa Vyuo na Ithibati ya Vyuo vya Elimu ya Kati, iliyofanyika leo Machi 28,2025 jijini Dodoma.

SEHEMU ya Washiriki wakimsikiliza Kaimu Katibu Mtendaji wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET),Dkt.Jofrey Oleke (hayupo pichani) wakati akifungua Warsha ya Wadau kuhusu kupitia Kanuni za Udahili wa Wanafunzi,Mitihani,Usajili wa Vyuo na Ithibati ya Vyuo vya Elimu ya Kati, iliyofanyika leo Machi 28,2025 jijini Dodoma.
SEHEMU ya Washiriki wakimsikiliza Mkurugenzi wa Uthibiti Ubora wa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET), Dkt. Jofrey Oleke (hayupo pichani) wakati akifungua Warsha ya Wadau kuhusu kupitia Kanuni za Udahili wa Wanafunzi,Mitihani,Usajili wa Vyuo na Ithibati ya Vyuo vya Elimu ya Kati, iliyofanyika leo Machi 28,2025 jijini Dodoma.

Katibu wa Umoja wa Wakuu wa Vyuo Tanzania, Mwl. Rashid Nditi,akizungumza wakati wa Warsha ya Wadau kuhusu kupitia Kanuni za Udahili wa Wanafunzi,Mitihani,Usajili wa Vyuo na Ithibati ya Vyuo vya Elimu ya Kati, iliyofanyika leo Machi 28,2025 jijini Dodoma.