Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe, akizungumza leo Aprili 4,2025 jijini Dodoma wakati akifungua kongamano la Kisayansi katika kuelekea Maadhimisho ya wiki ya Afya Kitaifa 2025 kwa niaba ya Waziri wa Afya,Jenista Mhagama.
Mganga Mkuu wa Serikali,Dk Grace Maghembe,akizungumza wakati wa kongamano la Kisayansi katika kuelekea Maadhimisho ya wiki ya Afya Kitaifa 2025 jijini Dodoma .
Sehemu ya Washiriki wakisikiliza hotuba ya Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe,(hayupo pichani) wakati akifungua kongamano la Kisayansi katika kuelekea Maadhimisho ya wiki ya Afya Kitaifa 2025 kwa niaba ya Waziri wa Afya,Jenista Mhagama leo Aprili 4,2025 jijini Dodoma.

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kongamano la Kisayansi katika kuelekea Maadhimisho ya wiki ya Afya Kitaifa 2025 kwa niaba ya Waziri wa Afya,Jenista Mhagama leo Aprili 4,2025 jijini Dodoma.
Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dkt. Seif Shekalaghe,akiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kufungua kongamano la Kisayansi katika kuelekea Maadhimisho ya Wiki ya Afya Kitaifa 2025 kwa niaba ya Waziri wa Afya,Jenista Mhagama leo Aprili 4,2025 jijini Dodoma.