Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza alipofungua Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Tuzo ya kutambua mchango wa Rais kwenye sekta za Utamaduni, sanaa na Michezo wakati Waziri Mkuu alipofungua Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Profesa Paramagamba Kabudi alipowasili kwenye Kituo cha Kimtaifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam kufungua Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Aprili 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Washiriki wa Kikao Kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofungua kikao hicho kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kipokea kwa niaba ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan zawadi ya Rais ya picha iliyochorwa wakati alipofungua Kikao kazi cha 15 cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere jijini Dar es salaam, Aprili 22, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)