RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025 na (kushoto) Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Zanzibar Mhe.Omar Said Shaban, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizindua Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print )2025, uzinduzi huo uliyofanyika leo 30-4-2025 katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar.(Picha na Ikulu)
KATIBU wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Waziri wa Biashara Tanzania Mhe. Selemani Jafo (Mb) wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Sera ya Biashara 2024 na Tathmini ya Uimarishaji wa Mazingira ya Biashara (Zanzibar Blue Print) 2025, uzinduzi huo uliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 30-4-2025.(Picha na Ikulu)