
Wananchi wakimsikiliza Waziri Mkuuna Mbunge wa Ruangwa , Kassim Majaliwa alipozungumza nao uwanja wa Namungo wilayani Ruangwa, Mei 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa , Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi na watumishi wa mgodi wa Elianje Genesis uliopo Namungo wilayani Ruangwa alipotembelea mgodi huo, Mei 4, 2025. Kulia kwake ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akitazama madini ya Graphite yaliyochenjuliwa na kufungashwa wakati alipotembelea mgodi wa Elianje Genesis uliopo Namungo wilayani Ruangwa, Mei 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa akitazama madini aina ya Green Granie alipotembelea mgodi wa Elianje Genesis uliopo Namungo wilayani Ruangwa, Mei 4, 2025. Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Zainab Telack. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Wafanyakazi wa mgodi wa Elianje Genesis uliopo Namungo wilayani Ruangwa wakitoka mgodini wakati Waziri Mkuu na Mbunge wa Ruangwa, Kassim Majaliwa alipotembelea mgodi huo, Mei 4, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)