NI Ijumaa nyingine tena ya kutusua kijanja na wakali wa ubashiri Meridianbet. Mechi za ligi mbalimbali zinatarajiwa kuendelea leo, hivyo suka jamvi lako la ushindi sasa.
SERIE A, Ijumaa ya leo kuna mchezo mmoja wa kukata na shoka ambapo AC Milan atamkaribisha kwake Bologna FC ambao wapo juu kwa pointi 5. Mechi ya mkondo wa kwanza kukutana Milan alipigika, hivyo leo hii anahitaji kupata ushindi nyumbani. Je mgeni atakubali kuachia pointi 3?. ODDS za mechi hii ni 2.40 kwa 3.05. Bashiri hapa.
Vilevile BUNDESLIGA pale Ujerumani kuna mechi moja ya kubashiri ambapo TSG Hoffenheim atakuwa ugenini kumenyana dhidi ya VFL Wolfsburg ambao kushinda mechi hii wamepewa ODDS 2.35 kwa 2.90. Je beti yako unaiweka kwa nani leo?. Jisajili hapa.
Ijumaa ya leo kuwa Milionea na Meridianbet . Suka jamvi lako la ushindi leo na ubashiri hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Aviator, Keno, Poker, Roullette, Keno, na mingine kibao.
Unaweza ukabeti pia mechi ya UD Las Palmas vs Rayo Vallecano pale Hispania ambapo mwenyeji yupo nafasi ya 18 na mgeni wake akiwa nafasi ya 8. Kila timu inahitaji pointi tatu leo huku takwimu zikionesha kuwa mgeni alishinda mtanange wa mwisho kuonana hivyo mgeni anahitaji sana ushindi leo. Beti mechi hii yenye ODDS 2.50 kwa 2.95.
SUPER LIG pale Uturuki kuna mechi mbili Gaziantep FK atamenyana dhidi ya Alanyaspor ambao mechi yao iliyopita walitoa sare, huku wenyeji wao wakipigika. Pointi 3 leo hii kila mtu anahizitaji huku nafasi ya ushindi pale Meridianbet akipewa mwenyeji kwa ODDS 2.35 kwa 2.75. Suka jamvi hapa.
Kwa upande wa Fenerbahce wao watakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya Instanbul Basaksehir ambao wapo nafasi ya 5, huku vijana wa Mourinho wao wakiwa nafasi ya 2, pointi 8 nyuma ya kinara wa ligi. Meridianbet wanampa nafasi ya kushinda mgeni kwa ODDS 1.85 kwa 3.95. Jisajili hapa.