RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, akikabidhiwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt.Othman Abass Ali, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipata maelezo kutoka kwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt. Othman Abass Ali, kabla ya kukabidhiwa Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha, 2023/2024, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar (CAG) Dkt. Othman Abass Ali (kushoto) baada ya hafla ya kukabidhi Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Zanzibar kwa Kipindi cha mwaka wa Fedha 2023/2024, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 12-5-2025.(Picha na Ikulu)