Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na viongozi wa Shirikisho la Wawekezaji na Wafanyabiashara nchini Japan KEINDAREN kwenye Makao Makuu ya Keindaren Tokyo nchini Japan, Mei 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisaliamiana na Mwenyekiti Mwenza wa Shirikisho la Wawekezaji na Wafanyabiashara nchini Japan KEINDAREN, Tetsuji Ohashi katika mazungumzo yaliyofanyika kwenye Makao Makuu ya Keindaren Tokyo nchini Japan, Mei 28, 2025. Kulia ni Mwenyekiti wa KEINDAREN, Jun Kube. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Shirikisho la Wawekezaji na Wafanyabiashara nchini Japan KEINDAREN kwenye Makao Makuu ya Keindaren Tokyo nchini Japan, Mei 28, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)