Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan, Mheshimiwa Hiromasa Nakano kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Miundombinu, Usafirishaji, na Utalii wa Japan, Mheshimiwa Hiromasa Nakano kwenye Makao Mkuu ya Wizara hiyo Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika kikao na Naibu Waziri wa Miundombinu, Usafirishaji na Utalii wa Japan, Kenichi Ogasakawara pamoja na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu Japan (JAIDA) kwenye makao makuu ya Wizara hiyo, Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Wizara ya Miundombinu, Usafirishaji na Utalii ya Japan pamoja na Rais wa Shirikisho la Wawekezaji katika Sekta ya Miundombinu la Japan (JAIDA) baada ya mazungumzo kwenye makao makuu ya Wizara hiyo, Tokyo Japan, Mei 27, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)