RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimia na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki,alipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika leo 11-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na mgeni wake Mhe. Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki (kulia kwa Rais) akiwa na ujumbe wake mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na mgeni wake Mhe.Kate Osamor (MB) Mjumbe Maalumu wa Biashara wa Serikali ya Uingereza kwa Afrika Mashariki,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 11-6-2025.(Picha na Ikulu)