Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kaskazini, Mhandisi. Lorivii Long’idu,akizungumza wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wasambazaji na wauzaji wa gesi ya kupikia (LPG) Jiji la Arusha.
Mhandisi wa Petroli Magreth Mwita,akiwasilisha mada wakati wa semina ya kuwajengea uwezo wasambazaji na wauzaji wa gesi ya kupikia (LPG) Jiji la Arusha.
Sehemu ya washiriki wakifuatilia semina ya kuwajengea uwezo wasambazaji na wauzaji wa gesi ya kupikia (LPG) Jiji la Arusha.
Meneja wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) Kanda ya Kaskazini, Mhandisi. Lorivii Long’idu,(aliyekaa katikati ) akiwa katika picha ya pamoja na washiriki wa semina ya kuwajengea uwezo wasambazaji na wauzaji wa gesi ya kupikia (LPG) Jiji la Arusha.