RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Kitengo cha Mipango Miji na Vijiji wa Kamisheni ya Ardhi Zanzibar. Mwarab Abdallah Mzee, wakati akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, kabla ya ufungaji wa maonesho hayo, yanayofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex Zanzibar leo 24-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, yaliyofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex Zanzibar, akipata maelezo kutoka kwa CEO.wa Kampuni ya MB Homes. Husseyin Buyukballi, wakati akitembelea maonesho hayo leo 24-6-2025.(Picha na Ikulu).
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la ZURA wakati wa ufungaji wa maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi yaliyofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex Zanzibar leo 24-6-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea banda la maonesho la Skuli ya Ufundi Mikunguni na kupata maelezo kutoka kwa Mwanafunzi Abdurahaman Ahmad Abdallah,wakati wa ufungaji wa maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, yaliyofanyika katika viwanja vya New Amaan Complex Zanzibar leo 24-6-2025.(Picha na Ikulu)
NO.2049///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali wa Serikali akiwa na Kitabu cha Muongozo wa Uthamini wa Mali na Malipo ya Fedha baada ya kikizindua rasmin leo 24-6-2025, wakati wa ufungaji wa maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 24-6-2025.(Picha na Ikulu)
NO.2066-2069-2139///VIONGOZI mbalimbali na Wananchi wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kuyafunga maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, hafla hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 24-6-2025.(Picha na Ikulu)
NO.2106-2101///RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kayafunga Maonesho ya Maadhimisho ya Wiki ya Ardhi na Makaazi, yaliyofanyika katika viwanja vya Hoteli ya New Amaan Complex Zanzibar leo 24-6-2025.(Pich
a na Ikulu)