Mgombea ubunge katika jimbo hilo Dkt .Ojung’u ole Saitabau baada ya kurejesha fomu ya Ubunge.

Proches Ndanu amejitokeza kuchukua fomu kugombea nafasi ya udiwani Kata ya moivo .
………..
Happy Lazaro, Arusha .
Makada mbalimbali wa Chama.cha mapinduzi wamezidi kumiminika katika ofisi cha CCM wilaya ya Arumeru kwa ajili ya kurudisha fomu ya kugombea nafasi ya ubunge katika jimbo la Arumeru Magharibi .
Mmoja wa wagombea waliorudisha fomu leo ni pamoja Dkt Ojung’u ole Saitabau ambaye ana dhamira na nia ya dhati ya kuwatumikia wananchi wa jimbo hilo.