Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bima ya Amana DIB Isack Kihwili akizungumza na Raphael Mwabuponde Afisa Mkuu Masoko wa mfuko wa Watumishi Housing Investment wakati afisa huyo alipotembelea katika banda la bodi hiyo kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Saba Saba yanayoendelea kwenye viwanja wa Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam, Katikati ni Afisa Mawasiliano Mkuu wa DIB Bw. Lwaga Mambande.
Afisa Mawasiliano Mkuu Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Bw. Lwaga Mwambande akimkabidhi zawadi Raphael Mwabuponde Afisa Mkuu Masoko wa mfuko wa Watumishi Housing Investment wakati afisa huyo alipotembelea katika banda la bodi hiyo kwenye maonesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Saba Saba yanayoendelea kwenye viwanja wa Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Bima ya Amana DIB Isack Kihwili akizungumza Afisa Mawasiliano Mkuu Bodi ya Bima ya Amana (DIB) Bw. Lwaga Mwambande Mara baaada ya kutembelea katika banda hilo kwenye maonesho ya Sabasaba.
Bertha Hyera Afisa kutoka DIB Akitoa naelezo kwa baadhi ya wananchi waliotembelea katika banda la taasisi hiyo.
Muinekano wa Banda la Bodi ya Bima ya Amana DIB lililopo katika maonesho ya ya 49 ya Biashara ya Kimataifa Saba Saba yanayoendelea kwenye viwanja wa Julius Nyerere barabara ya Kilwa jijini Dar es Salaam.