Watoto wakiwa banda la VETA katika Maonesho ya Sabasaba wakijifunza Uchoraji ,Ushonaji ,Ususi ikiwa ni malengo ya VETA watoto waanze kujua ufundi Stadi mapema.
Mhitimu wa VETA ambaye ni mlemavu hana mikono akionyesha umahiri wa kuchora kwa kutumia miguu katika Banda la VETA kwenye Maonesho ya Sabasaba.
Watoto wakiwa banda la VETA katika Maonesho ya Sabasaba wakijifunza Uchoraji wa vitu mbalimbali ikiwa ni malengo ya VETA watoto waanze kujua ufundi Stadi mapema