Wakati mwingine mapenzi yanaweza kuwa ya kushangaza sana. Nilipomuona kwa mara ya kwanza akiwa na suti ya kijivu, tai ya maroon na viatu vya rangi ya kahawia iliyong’aa, nilihisi moyo wangu ukiruka kama vile mtu aliyeguswa na umeme. Hakuwa staa wa filamu, wala hakuwa tajiri mkubwa lakini alivyojitokeza, alivyonukia, na alivyonena ilitosha kunichanganya. Nilijua huyo….. SOMA ZAIDI