Baadhi ya Waandishi wa Habari waliohudhuria katika Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Baadhi ya Viongozi wa Jeshi la Plisi wakifuatilia Mijadala na Mada mbalimbali zilizotolewa katika hafla ya Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Mratibu wa Kongamano Ramadhan Himidi akitoa hotuba ya Makaribisho katika Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Mkuu wa Utawala DCP Saimon Chillery akitoa hotuba ya makaribisho kwa Mgeni Rasmi katika Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Mgeni Rasmi CP Afande Kombo Khamis Kombo akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Mgeni Rasmi CP Afande Kombo Khamis Kombo akisisitiza jambo wakati akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
Afande Kombo Khamis Kombo (KULIA)akimkabidhi Cheti Cha Shukurani Katibu Mkuu wa ZPC Mwinyimvua Nzukwi katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.
CP Afande Kombo Khamis Kombo katikati akiwa katika Picha ya Pamoja na Viongozi na Waandishi wa Habari katika hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Kuimarisha Amani kupitia Mijadala ya Maelewano baina ya Jeshi la Polisi na Vyombo vya Habari lililofanyika katika Ukumbi wa Polisi Ziwani Zanzibar.