BREAKING: Yanga wamekubali $900,000 (tsh 2,246,359,212) kumuuza Mzize kwenye klabu ya Al-Sadd SC ya Qatar.
Yanga wamekubali kumuuza Mzize ila Wasimamizi wa mchezaji wanataka mshahara wa $50,000 (tsh 124,797,734) kwa mwezi.
Al Sadd wako tayari kutoa mshahara wa $30,000 (tsh 75,256,380) kwa mwezi ila Mzize anataka $50,000.
So far dili la Mzize linakwamishwa na wasimamizi wake ila Yanga wako tayari kumuuza.
By Hans Rafael