Ligi yetu imepokea wachezaji wengi wapya na wazuri kwenye hili dirisha kubwa,ila kwangu mimi binafsi Mohamed Doumbia,ndo usajili bora hadi sasa,hapa Yanga Imelamba dume,Top quality,jamaa anagonga #8 na #10,anacheza one touch football nafasi ikija mbele yake anachapa mkwaju
Hata Dunia nzima ipingane na mimi ila naamini huu ndo usajili bora wa dirisha kubwa hadi sasa