Mchezaji Stella Williams wa Beauties FC ya Namibia, mwenye miaka 47 ameweka historia kwa kuwa mchezaji mwenye umri mkubwa zaidi kucheza mechi za kufuzu kwa Ligi ya Mabingwa ya CAF Kwa ukanda wa COSAFA
Stella Williams anayemudu kucheza eneo la kiungo msimu uliopita aliisaidia timu yake Kwa 90% ya mechi zake na kunyakua ubingwa wa Ligi Kuu ya Namibia ya FNB na kupata nafasi ya kushiriki mashindano hayo ya kusaka tiketi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa Afrika.
Mchezaji huyo aliifunga magoli mawili Timu ya Taifa ya Tanzania ‘Twiga Stars’ akiwa na mwaka 2013.