Â
🚨 OFFICIAL
Nyota wa Zamani wa Simba,yanga na Ken Gold FC Bernard Morrison Amejiunga Rasmi na Klabu ya Mohammedan Sporting Club ya Nchini Bangladesh Kwa Mkataba wa Miaka Miwili.
Vyombo mbalimbali vya habari Nchini Bangladesh Vimeripoti kuwa Nyota huyo anatajwa kama Mchezaji Bora na Ng’ali kuwahi Kusajiliwa katika Historia ya Ligi hiyo.
​Â