Yusuf Kagoma (29) amepata majeraha kwenye mguu wake wa kulia na ataikosa mechi ya CAFCL dhidi ya Gaborone UTD.
Kagoma alipata majeraha hayo kwenye mchezo dhidi ya Fountain Gate, aliendelea kucheza kwa muda, lakini hatimaye alilazimika kutolewa mapema kipindi cha pili.
Kutokuwepo kwake ni pigo kubwa kwa Simba, kwani Kagoma amekuwa na mchango muhimu katika michezo ya awali ya kimataifa msimu