Leo ni siku ya shauku na fursa kubwa kwa mashabiki wa soka. Viwanja vinashuhudia mapambano mazito, na Meridianbet inakuletea odds za kipekee na machaguo makali zaidi ya kubashiri. Huu si wakati wa kusalia kando, ni nafasi yako ya kuingia kwenye mchezo, kuchukua hatua, na kushinda.
Mchezo wa Nottingham Forest dhidi ya Chelsea unatarajiwa kuwa wa moto. Chelsea wanaingia uwanjani wakiwa na rekodi ya majeruhi wengi wa kikosi cha kwanza, je Forest wataitumia faida hii kupata ushindi wakiwa nyumbani? Odds za Meridianbet ni nzuri kwa kila mbashiri anayetaka kushiriki na kujaribu bahati yake.
Brighton dhidi ya Newcastle ni pambano la mvutano kwani timu zote zinalingana alama za msimamao wa ligi. Brighton wakiwa nyumbani wanataka kurejesha nguvu zao, huku Newcastle wakitafuta kudumisha nafasi yao. Odds zipo juu, na Meridianbet inakupa kila chaguo unalohitaji ili kushinda.
Meridianbet pia inakuletea michezo ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Kwa upande mwingine, dimbani Turf Moor, Burnley anapambana na Leeds United. Burnley anaingia mchezoni akiwa na rekodi mbovu tangu kuanza kwa msimu huu, huku Leeds wakiwa kiwango cha kati kwenye ligi. Odds ziko moto, na Meridianbet inahakikisha unapata fursa za kubashiri kwa kila namna.
Mchezo wa kuvutia utakua ni Crystal Palace dhidi ya Bournemouth. Bournemouth wakiwa nafasi ya nne na Crystal Palace wakiwa nafasi ya sita, pambano hili linatarajiwa kutoa ushindani wa hali ya juu. Odds za Meridianbet zinakuwezesha kuchagua mapema na kuingia kwenye rekodi ya ushindi.
Kwingineko Etihad Stadium, Manchester City wanakutana na Everton. Tangu 2021, Everton hawajawahi kushinda ugenini dhidi ya City, je leo historia itabadilika? Meridianbet inakuwezesha kuchukua hatua mapema na kuingia kwenye pambano hili la kihistoria kwa kuweka bashiri yako.
Siku inafungwa kwa mtanange mkali kati ya Arsenal dhidi ya Fulham, ambapo Mikel Arteta anatafuta kuhakikisha timu yake inabaki kileleni mwa ligi. Arsenal wameshinda michezo mitano na kufungwa mara moja tu, na Meridianbet inakupa kila chaguo la kushinda kwa kubashiri mapema.
The post BASHIRI NA MERIDIANBET MICHEZO YA EPL LEO UFURAHIE USHINDI….. appeared first on Soka La Bongo.