Ameandika Mchambuzi Alex Ngereza1 ✍️
“Yanga wameshinda lakini mwamuzi amewabeba Yanga kwenye matukio mawili muhimu ambayo pengine Silver striker wangepata magoli na kufuzu group stage
Tukio la kwanza ni la goli ambalo wamefunga na mwamuzi akalikataa wakati hakukuwa na madhambi ya aina yoyote ambayo waliyafanya
Tukio la pili Silver striker walikuwa wanaenda kushambulia Dickson Job akiuzui mpira kwa mkono lakini mwamuzi akashindwa kupuliza filimbi wakati Job alishika ule mpira kwenye eneo ambalo Silver wangeweza kunufaika kwa namna moja ama nyingine, Yanga wamefuzu lakini Silver Striker wameonewa”










