ZA NDANINDANI KUNA MABADILIKO JANGWANI!
Baada ya kutambulishwa kwa benchi jipya la ufundi, Patrick Mubedi sasa amepandishwa kuwa Mkurugenzi wa Ufundi wa Yanga SC ππ
Atasimamia timu zote za Yanga, huku akiendelea kuwa standby kwa lolote litalotokea β ambapo anaweza kushuka tena kama Kocha Mkuu endapo itahitajika. β½πΌ
βΒ








