Klabu Azam FC ambao msimu huu wameanza kwa kusuasua katika michuano ya ndani na ya kimataifa licha ya uwepo wa kocha aliyekuwa akitegemewa kubadili mwenendo wa timu Florent Ibenge.
Katika Ligi Kuu Tanzania Bara Azam FC imejikuta ikishikilia nafasi ya 12 kwenye msimamo baada ya kucheza mechi nne na kukusanya pointi sita pekee hali ambayo haikutarajiwa kabisa kwenye klabu mara baada ya kunasa saini ya @florent_ibengeofficiel
Hali imekuwa mbaya zaidi katika Kombe la Shirikisho Barani Afrika ambako Azam FC imeanza hatua ya makundi kwa kupoteza michezo miwili mfululizo bila kufanikiwa kufunga bao lolote.
The post Azam na Ibenge Mambo Bado Magumu Sana appeared first on SOKA TANZANIA.






