Kwenye safu ya Ushambuliaji Ya Yanga ni Pacome pekee ane onesha kiwango kinacho endana na standard ya Yanga, sio rahisi group kubwa la Wachezaji kucheza kwenye kwango cha chini alafu mchezaji mmoja kuweza ku maintain ubora wake kutoka mechi hadi mechi
Kwa level ya Yanga haitakiwi kua hivi, Ecua, Dube, Dumbia, Chikola na yoyote ane pata nafasi ya kuvaa jezi ya Yanga lazima wa boreshe sana performance zao
SIO KILA SIKU ITAKUA PACOME
Mchambuzi Nasir Khalfan
The post Washambuliaji wa Yanga Wajitafakari, Sio Kila Siku Pacome tu appeared first on SOKA TANZANIA.






