Je unajua kuwa Wikendi ya ushindi mnono na Meridianbet imefika siku ya leo ambapo kwa dau lako dogo tuuh unaweza ukajishindi maokoto ya maana. City, Bayern, PSG na wengine kibao wapo kwaajili yako leo.
SERIE A kule Italia itaendelea ambapo Sassuolo atakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya AFC Fiorentina ambao wapo nafasi mbaya kwenye msimamo wa ligi yaani 19, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 9. Timu zilikutana msimu juzi ambapo kila timu ilishinda mechi moja kati ya mbili walizokutana. Jisajili hapa.
Vijana wa Christian Chivu, Inter Milan watakuwa wenyeji wa Como 1907 ambao wamekuwa na mwendelezo mzuri wa matokeo tokea Fabregas aichukue timu hiyo. Hii ni vita ya mbinu kati ya walimu hawa huku kila kocha akitaka ushindi mbele ya mwenzake. Bashiri hapa.
Kwa upande wa Atalanta nao watasafiri kwenda kukipiga dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya mwisho kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao mpaka sasa kwenye msimamo wa ligi ni 7. Kila timu inahitaji ushindi kwa na mali ili iweze kusogea mbele kwenye msimamo wa ligi. Meridianbet inakwambia kuwa bashiri mechi hii.
Michezo ya Kasino ya mtandaoni imekuja kukupatia maokoto cheza Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Ufaransa LIGUE 1 nayo kama kawaida itaendelea ambapo Nantes atakipiga dhidi ya Lens ambapo wapo nafasi ya 3 huku mwenyeji yeye akiwa nafasi ya 15 hadi sasa. ODDS KUBWA na machaguo mengi yapo kwenye mechi hii. Ingia na ubashiri sasa na wakali wa ubashiri leo.
Mechi nyingine ni hii ya Toulouse vs Strasbourg ambao msimu huu wamekuwa na kiwnago cha kuridhisha kabisa kwenye ligi. Mwenyeji mpaka sasa amekusanya pointi 16 hadi sasa huku mgeni wake akiwa na pointi zake 22. Nani unamdhamini akupatie maokoto siku ya leo?. Jisajili hapa.
Bingwa mtetezi wa ligi, PSG atakiwasha dhidi ya Rennes ambao wanashika nafasi ya 6 huku msimu uliopita vijana wa Enrique wakiondoka na ushindi mechi zote mbili walizokutana msimu uliopita. Paris ndio wanaopewa nafasi ya kushinda siku ya leo. Bashiri hapa.
EPL kuendelea leo ambapo Aston Villa watamleta kwao Arsenal ambao wameendelea kufanya vyema kabisa kwenye ligi huku malengo yao yakiwa ni kuondoka na mataji msimu huu. Meridianbet wanampa Arteta nafasi ya ushindi leo. Bashiri hapa.
Naye Chelsea atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya AFC Bournemouth ambapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili walitoa sare, lakini msimu huo huo The Blues waliondoka na pointi 4 kwenye mechi mbili walizokutana. Mechi hii ina machaguo zaidi ya 1000 Meridianbet. Jisajili hapa.
Wakati huo huo vijana wa Pep Guardiola Manchester City watakuwa nyumbani kukipiga dhidi ya Sunderland ambao nao msimu huu wameanza vizuri kabisa huku wakipata matokeo mbele ya timu kubwa. City wanahitaji ushindi mechi hii ili wawe karibu na mbio za ubingwa. Suka jamvi hapa.
Pia kule Ujerumani, BUNDESLIGA kuna mechi za pesa FC Augsburg atakuwa mwenyeji wa Bayer Leverkusen huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 13. Mtanange wa mwisho kukutana mgeni alishinda mechi zote mbili. Je nani kuondoka na ushindi siku ya leo?. Tengeneza jamvi hapa.
Bingwa mtetezi wa ligi hiyo, Bayern Munich watakuwa wageni wa VFB Stuttgart huku wenyeji wao wanataka kulipa kisasi baada ya kupoteza mechi ya zote walizokutana msimu uliopita. Meridianbet wamempa nafasi kubwa ya kushinda Kompany na vijana wake. Wewe nani unamuamini na pesa yako leo?. Jisajili hapa.
RB Leipzig atakuwa uso kwa uso dhidi ya Eintracht Frankfurt huku tofauti yao mpaka sasa ikiwa ni 5. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo kujiweka kwenye nafasi nzuri ya kushiriki michuano ya Ligi ya mabingwa Ulaya. Je nani kushinda siku ya leo?. Beti hapa.
LALIGA nako kuna mechi za kubashiri ambapo Villarreal vs Getafe ambao wapo nafasi ya 7, huku wenyeji wao wakiwa nafasi ya 3. Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana Nyambizi wa Njano walishinda. Je mgeni anaweza kulipa kisasi mechi hii?. Suka jamvi hapa.
Nao Real Betis watamkaribisha kwake FC Barcelona ambao wapo nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi. Beti yeye yupo nafasi ya 5 hadi sasa. Ni sare ndio iliyopatikana mechi ya mwisho walipokutana. Pointi 3 ni muhimu kwa timu zote mbili hadi sasa. Je leo hii nani kushinda?. Tandika jamvi hapa.
Athletic Bilbao atakuwa kibaruani kumenyana dhidi ya Atletico Madrid ambao wana pointi 28 kwenye msimamo wa ligi hadi sasa, huku wenyeji wao wakiwa na pointi zao 17. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye mechi hii, hivyo ingia na ubashiri na Meridianbet leo.
The post WIKIENDI YA USHINDI IMEFIKA….MERIDIANBET IMEKULETEA ODDS ZA USHINDI…. appeared first on Soka La Bongo.









