Michuano ya AFCON barani Afrika inaendelea lakini pia kuna mechi nyingine nyingi zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na uanze kusaka nafasi ya ushindi na Meridianbet sasa.
SAUDI PROFESSIONAL LEAGUE itaendelea kwa mechi kadhaa za pesa, Al Ittihad atakuwa ugenini kusaka ushindi dhidi ya NEOM SC ambao mpaka sasa wapo nafasi ya 8, wakati wageni wao wapo nafasi ya 7. Timu hizi zimefunga pointi yaani wote wana pointi 14. Jisajili hapa.
Al Kholood watawakaribisha nyumbani kwao Al Hilal ambao wapo nafasi ya pili kwenye msimamo wa ligi. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 14 ambapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili, mwenyeji alipasuka vibaya sana. Je leo hii anaweza kulipa kisasi?. Meridianbet imeipa mechi hii machaguo zaidi ya 1000. Tengeneza jamvi hapa.
Mechi nyingine ni hii ya Al Shabab vs Al Qadsiah ambapo msimu uliopita timu hizi mbili kila mtu alichukua pointi 3 kwenye mechi mbili walizokutana. Tofauti ya pointi kati yao hadi sasa ni 9 pekee. ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii. Ingia na ubashiri sasa.
Chukua ushindi haraka kwenye michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roulette,Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
AFCON kama kawaida inaendelea kupamba moto ambapo Equatorial Guinea atakiwasha dhidi ya Algeria huku mara ya mwisho kukutana, hakuna ambaye alikuwa mshindi kati yao, lakini pia hakuna ambaye aliona lango la mwenzake. Je leo hii nani kuondoka na ushindi?. Bashiri hapa.
Mechi nyingine ya pesa ni hii ya Sudan vs Burkina Faso ambapo mara ya mwisho kukutana hawa wawili ilikuwa mwaka 2012 huku mwenyeji akiondoka na ushindi mnono. Mwenyeji mechi yake ya mwisho kucheza alipoteza huku mgeni yeye akishinda mechi yake ya mwisho. Je beti yake unaiweka wapi leo?. Jisajili hapa.
Naye Gabon wao watakuwa dimbani dhidi ya Ivory Coast ambao ndio bingwa mtetezi wa michuano hii ambapo na msimu huu wanataka kutetea pia taji lao. Wenyeji wao hawapewi nafasi kubwa ya kushinda mechi hii siku ya leo. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Jisajili hapa.
Mozambique atamenyana dhidi ya Cameroon ambao ni moja ya Taifa ambalo linapewa nafasi kubwa ya kushinda Kombe hili kubwa Barani Africa. Kila timu inahitaji ushindi siku ya leo iweze kukaa juu kwenye msimamo wa kundi hili. Je nani unampa nafasi ya kuondoka na ushindi siku ya leo?. Bashiri hapa.
The post TANDIKA JAMVI LAKO LA USHINDI HAPA appeared first on Soka La Bongo.






