RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi sadaka ya Futari Abdillah Iddi Riziki mkaazi wa Mgeni Haji Wilaya ya Kati Unguja, wakati wa hafla ya Iftaar ya pamoja aliowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, iliyofanyika katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu jana 17-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkaribisha tende Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Saleh Omar Kabi, kwa ajili ya kufungulia saumu ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, wakati wa hafla ya Iftaar aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja iliyofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja,iliyofanyika jana 17-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akijumuika na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja katika Iftaar ya pamoja aliyowaandalia katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja, iliyofanyika jana 17-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu, aliyoandaliwa na Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, akikabidhiwa na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar ya pamoja aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliyofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, iliyofanyika jana 17-3-2025.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Mkoa wa Kusini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na kuwasalimia baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar ya pamoja aliyowaandalia katika ukumbi wa Dkt.Ali Mohamed Shein, iliyofanyika jana 17-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na kuwasalimia Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar ya pamoja aliyowaandalia Wananchi wa Mkoa huo, iliyofanyika katika ukumbi wa Dkt. Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja iliyofanyika jana 17-3-2025.(Picha na Ikulu)