RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali alipowasili katika viwanja vya Hotel ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar, kuhudhuria Iftaar ya pamoja iliyoandalia na Benki Kuu ya Tanzania jana 25-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Emmanuel Mpawe Tutuba, baada ya kumalizika kwa Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania iliyofanyika katika ukumbi wa Hotel ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2025.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Mzee Mwaka Zakuwani Kipanda mkaazi wa Nyumba za Wazee Welezo Unguja, baada ya kumalizika kwa hafla ya Iftaar ya pamoja iliyoandaliwa na Benki Kuu ya Tanzania, iliyofanyika katika ukumbi wa Hoteli ya Madinat Al Bahr Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja Jijini Zanzibar jana 25-3-2025.(Picha na Ikulu)