Mhe. Hamad K. Hamad, Balozi wa Tanzania – Msumbiji amekutana na Mhe. Shaaban A. Othman, Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi, Zanzibar na kuzungumza kuhusu maeneo yanayohitaji ushirikiano kati ya Msumbiji na Tanzania / Zanzibar ikiwemo; Uvuvi na Kilimo cha Baharini, Mafuta na Gesi.