
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mweka Hazina wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania, Abdilah Omar (wa tatu kushoto) alipotembelea mabanda ya maonesho akimwakiliasha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kilele Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa kuhusu Ualbino, kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025. Kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi , Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, wa nne kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye na wa pili kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania, Godson Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya World Share, Bw. Worm Ann (wa pili kushoto) alipotembelea banda la maonesho la taasisi hiyo akimwakiliasha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Uelewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira, na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi wa Taasisi ya World Share, Bw. Worm Ann ( kushoto) alipotembelea banda la maonesho la taasisi hiyo akimwakiliasha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Ulewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025. Wa pili kulia ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete na kulia ni Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, Ummy Nderiananga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Kansa ya Ocean Road, Dr. Diwani Msemo alipotembelea banda la maonesho la taasisi hiyo akimwakiliasha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye kilele cha Maadhimisho ya Siiku ya Kimataifa ya Uelewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025. Kulia ni Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania, Godson Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Mratibu wa Afya wa Taasisi ya Standing Voice, Christina Silas (kulia) aliyetoa maelezo kuhusu kofia na vifaa mbalimbali vinavyotumiwa na watu wenye ualbino kujikinga na athari za jua alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Maadhimisho ya Siku ya Kimaatifa ya Ulewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025. Wa tatu kushoto ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi , Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, wa pili kushoto ni Mwenyekiti wa Chama cha Watu Wenye Ualbino Tanzania, Godson Mollel. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maandamano alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Ulewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea maandamano alipomwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Ulewa kuhusu Ualbino kwenye uwanja wa Mwanga Centrę Mjini Kigoma, Juni 13, 2025. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Zuhura Yunusi, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobia Andengenye, Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Ajira, Vijana na Wenye Ulemavu, Ridhiwani Kikwete, Mwenyenyekiti wa Chama cha Wenye Ualbino Tanzania, Godson Mollel na. Kulia ni Mwenyekiti wa CCM mkoka wa Kigoma, Jamal Tamim. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)