Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikabidhiwa Tuzo ya Hekima, Upendo na Uongozi wa hali ya juu kwa niaba ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka kwa Mwenyekiti wa Taasisi ya Islamic Foundation, Arif Nahdi, wakati alipomwakilisha Rais Dkt. Samia kwenye Kongamano la Afrika Mashariki la Amani lililoandaliwa na Taasisi za The Islamic Foundation pamoja na Safina Islamic Foundation, katika viwanja vya shule ya msingi Mirongo jijini Mwanza Juni 29, 2025. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na waumini wa Dini ya Kiislamu, wakati alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Kongamano la Afrika Mashariki la Amani lililoandaliwa na Taasisi za The Islamic Foundation pamoja na Safina Islamic Foundation, katika viwanja vya shule ya msingi Mirongo jijini Mwanza Juni 29, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waumini wa Dini ya Kiislamu, wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, wakati alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Kongamano la Afrika Mashariki la Amani lililoandaliwa na Taasisi za The Islamic Foundation pamoja na Safina Islamic Foundation, katika viwanja vya shule ya msingi Mirongo jijini Mwanza Juni 29, 2025. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)