MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 13-7-2025 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abduulla.(Picha na Ikulu).
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kabla ya kuongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 13-7-2025 na (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Hemed Suleiman Abduulla na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa.(Picha na Ikulu).
WAJUMBE wa Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kabla ya kuaza kwa Kikao hicho kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kilichofanyika leo 13-7-2025.(Picha na Ikulu).
NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa akisoma ajenda za Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 13-7-2025 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashari Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar leo 13-7-2025.(Picha na Ikulu)