Tusidanganyane kugawa pesa kwenye goli endapo mashindano yakitokea sio njia sahihi ya kukuza mpira wetu bali kwenye accademy
ukifatilia timu nyingi za mataifa wamewekeza kwenye academy na sasa zinapata matokeo mfano mzuri senegal, morroco, ivory coast kila siku uwezi kukuta timu inacheza vibaya kwanini uwekezaji kwenye academy
Kwanini hizo pesa zaidi ya millioni 500 serekali walizotoa mpaka saivi wasingewaandalia under 20 nzuri ili baadae tupate timu yenye uwezo na sio timu ya kuhaidiwa
Yani ni kama mwanafunzi hasomi alafu mtihani ukitokea wazazi wanamuahidi zawadi
Yani mpaka mashamba, magari wapewe kwelii ndo tumefikia huko