ย
CAF CHAMPIONS LEAGUE
๐น๐ฟ SIMBA SC ๐ GABORONE UTD ๐ง๐ผ
โฐ 16:00
๐๏ธ Mkapa.
Wekundu wa Msimbazi wanaingia uwanjani wakiwa na kocha mwingine tofauti, Hemed Suleima โMoroccoโ kusimamia mechi hii tu, Simba imekuwa na rekodi bora dhidi ya timu za Botswana lakini pia ina kumbukumbu ya kuzuiwa kusonga mbele 2021 ilipofungwa nyumbani 3-1.
Bila ya mashabiki, Simba inakwenda kuikabili Gaborone United, timu ambayo imekuwa ngumu katika kuruhusu nyavu zake kutikiswa kwani msimu huu kwenye Ligi ya Botswana imeshuka dimbani mara nne na kufungwa mabao mawili pekee.
โย