TRANSFER TALK:
Kocha wa Zamani wa Mamelodi Sundown Ambaye kwasasa ni Kocha wa MC Alger Rulani Mokwena Anahusishwa Kujiunga na Vigogo wa Tanzania Simba.
Tayari Simba wamefanya mazungumzo ya awali na Kocha Mokwena, Ambapo Simba imeahidi kumlipa Mshahara Ambao unakadiriwa kuwa wa Zaidi ya Milioni 195+ kwa Mwezi.
Taarifa mbalimbali Kutoka Afrika Kusini zimeeleza Mokwena kwasasa Hana Mahusiano Mazuri na Viongozi wa MC Alger Kutokana na Mwendelezo mbaya wa Matokeo za Mechi za hivi karibuni.