Haraka sana Simba wanatakiwa kupata kocha mkuu na kocha wa viungo.
Hii Simba haiko fit kimwili na kiakili…..kwa kifupi Fitness ya Wachezaji iko chini sana….unaweza kusema ni mwishoni mwa msimu.
Huyu Fitness Coach wa Simba hawatendei haki hawa Wachezaji na sielewi pre-season aliwapa mazoezi gani