Meneja mpya wa Simba Sc, Dimitar Pantev ameanza rasmi majukumu yake klabuni hapo kwa kuiongoza timu hiyo kushinda 2-1 dhidi ya Al Hilal kwenye mchezo wa kirafiki katika dimba la Meja Jenerali Isamuhyo.
FT: Simba SC 🇹🇿 2-1 🇸🇩 Al Hilal Omduman.
⚽️ Jean Ahoua
⚽️ Jonathan Sowah
⚽ Adama Coulibaly