0 Comment
Na Belinda Joseph, Songea – Ruvuma Wazazi na walezi wametakiwa kuongeza ushirikiano wao katika malezi na ufuatiliaji wa maendeleo ya watoto wao shuleni, kwani jukumu la mzazi halikomi kwa kulipa ada pekee, bali linahusisha pia kujua mwenendo na tabia ya mtoto katika mazingira ya shule na jamii. Wito huo umetolewa na Mshauri wa Jeshi la... Read More