0 Comment
Na Seif Mangwangi, Arusha UMOJA wa Wazazi Tanzania wa Jumuiya ya Chama cha Mapinduzi (CCM), umesema wanachama wa Jumuiya hiyo wanakiu ya uchaguzi na wako tayari kuingia kwenye uchaguzi wakati wowote licha ya kusikia kuna baadhi ya vyama vya siasa vinataka kugomea uchaguzi Mkuu ujao. Aidha Jumuiya hiyo imeandaa kongamano kubwa la kimataifa litakaloainisha mafanikio... Read More