Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 12, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 12, 2024 first appeared on Millard Ayo.
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 12, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. The post Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 12, 2024 first appeared on Millard Ayo.
NA. MWANDISHI WETU – LUDEWA MWENYEKITI wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Afya na Masuala ya UKIMWI, Mheshimiwa Dkt. Elibariki Kingu ametoa piongezi kwa Mkoa wa Njombe kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge na Uratibu pamoja na TACAIDS kwa kuhakikisha watu wanaoishi na virusi vya UKIMWI kuwawezesha kushiriki shughuli za kiuchumi.... Read More
Na Mwandishi wetu, Babati MAMLAKA ya maji na usafi wa mazingira vijijini (RUWASA) mkoa wa Manyara, imeitaka jamii ya eneo hilo kutunza vyanzo vya maji ili viweze kuendelea kuhudumia kizazi cha sasa na kizazi kijacho. Meneja wa RUWASA mkoa wa Manyara, mhandisi James Kionaumela ameyasema hayo wakati akizungumzia mikakati ya upatikanaji maji kwa jamii ya... Read More
NA WILLIUM PAUL, MOSHI. WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi wameshauriwa kujiepusha na maneno ya uongo (majungu) hasa katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu ili chama hicho kiingie katika uchaguzi wanachama wakiwa wamoja na kuweza kushinda kwa kishindo. Kauli hiyo ilitolewa jana na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Meryse Mollel wakati akifunga baraza la... Read More
📍 Kamati yaridhishwa na Kasi ya ukuaji wa Taasisi hiyo. Na Beatus Maganja, Dodoma MWENYEKITI wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis R. Semfuko akiambatana na Menejimenti ya TAWA leo Januari 10, 2025 amewasilisha taarifa ya utendaji kazi wa TAWA kwa Kamati ya Kudumu ya... Read More
-Mosi Aagiza Eneo la Feri kuwa Safi -Pili Mchakato wa kumpata Mwekezaji Mkubwa wa dampo uharakishwe -Tatu Barabara ya Feri kwenda Hyatt, Johari Rotana mpaka stesheni itafungwa kwa baadhi ya vyombo vya usafiri -Nne Katibu Tawala wa Mkoa kusimamia watendaji wote kuanzia TPA, Temesa kuja Jiji maeneo hayo yawe safi -Tano Barabara zitakazotumiwa na Marais... Read More
NA MWANDISHI WETU, PEMBA MAKAMU wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ), Hemedi Suleiman Abdulla, amezindua Tawi la NMB Wete, lililopo Wete, Mkoa wa Kaskazini Pemba, huku akiahidi kuwa SMZ itaendeleza ushirikiano wake na NMB, benki aliyoitaja kama kinara wa kusapoti jitihada za utekelezaji wa miradi mikubwa na ya kimkakati. Uzinduzi... Read More
Na Mwandishi Maalum,Songea WAATHIRIKA wa maafa yaliyotokana na mvua pamoja na upepo mkali tarehe 28 Desemba 2024 na Tarehe 2 Januari mwaka huu wilayani Songea mkoa wa Ruvuma,wameanza kupokea misaada ya kibinadamu kutoka kwa Serikali ya wilaya ya Songea na na wadau mbalimbali. Akizungumza kabla ya kukabidhi msaada huo Mkuu wa wilaya ya Songea Kapenjama... Read More