0 Comment
Na Mwandishi wetu Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni (UNESCO), Bi Audrey Azoulay, anatarajiwa kuwasili nchini tarehe 01 Machi, 2025 kwa ziara ya siku sita (6). Ziara hiyo inafuatia mwaliko wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo alimkaribisha kufanya ziara nchini.... Read More