0 Comment
Katika hatua ya kuboresha utoaji wa mikopo ya asilimia 10 ya halmashauri, Benki ya CRDB leo imekabidhi vitendea kazi vyenye thamani ya shilingi milioni 45 kwa maafisa maendeleo ya jamii wa halmashauri ya jiji la Dar es Salaam. Msaada huo umekabidhiwa mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Ilala Mhe. Edward Mpogolo kwa Mkurugenzi wa Jiji... Read More