0 Comment
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO), kwa kushirikiana na Shirika la Utangazaji la Tanzania (TBC), wameendesha zoezi la upandaji miti katika Shule ya msingi Kapeta, lengo likiwa ni kuhamasisha uhifadhi wa mazingira na kutunza mazingira ya karibu na mgodi wa STAMICO. Zoezi hilo liliongozwa na Mkurugenzi Mkuu wa TBC, Dkt. Ayoub Rioba Chacha, kama sehemu... Read More