NA WAF SERIKALI kupitia Wizara ya Afya itaendelea kutekeleza mkakati wake wa kuimarisha huduma za dharura nje ya hospitali kwa kushirikiana na wadau binafsi. Hayo yamebainishwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu alipotembelea moja ya wadau wa Sekta binafsi wanaotoa huduma za Dharura kampuni ya Emergency Medical Services inayofahamika kama E-Plus Tanzania,... Read More
Mkurugenzi wa Huduma za Tiba Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Dkt. John Rwegasha ameteuliwa kushika wadhifa wa Mkuu wa Kitengo cha Huduma za Tiba, Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU) yenye makao makuu yake nchini Addis Ababa, Ethiopia ambapo anatarajiwa kuanza kazi Februari, 2025. Akiagana na Menejimenti ya MNH mwishoni mwa wiki hii, Dkt. Rwegasha... Read More
Na Mwandishi Wetu,Mbinga WAANDISHI wasaidizi na waendesha vifaa vya Bayometriki katika Jimbo la Mbinga vijijini mkoani Ruvuma,wameonywa kutokwenda kwenye vituo vya Uandikishaji wa Daftari la kudumu la wapiga kura wakiwa wamelewa bali kufanya kazi kwa kujituma, weledi na uadilifu ili waweze kufanikisha kazi hiyo. Wito huo umetolewa jana na Afisa Mwandikishaji wa Jimbo hilo Pascal... Read More
Waziri wa Maliasili na Utalii na Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Njombe Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana, Januari 11 2025 ameshiriki katika Baraza la Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Wilaya ya Ludewa ambapo katika baraza hilo amechangia fedha kiasi cha shilingi mililioni 6 kwaajili ya kuwezesha shughuli mbalimbali za UWT Ludewa ikiwemo ujenzi wa... Read More
Mwenyekiti wa Umoja wa Waandishi wa Vitabu Tanzania (UWAVITA), Anna Mbise, amesema umoja huo umeshiriki kutoa maoni kuhusu Rasimu ya Dira ya Taifa ya Maendeleo ya 2025-2050 ikiwa ni mwitikio wa wito wa Serikali unaoshirikisha taasisi na wananchi katika mchakato wa kupata maono ya pamoja kwa maendeleo ya nchi miaka 25 ijayo. Kwa mujibu wa... Read More
Naibu waziri wa maji Mhandisi Kundo Andrea Methew ameweka jiwe la msingi katika mradi wa uchimbaji visima na ujenzi miundombinu rahisi wa shilingi milioni 325 katika vijiji vitano wilayani Ruangwa Mkoani Lindi. Mradi huo wa uchimbaji wa visima na ujenzi wa miundombinu rahisi katika vijiji vitano ambavyo havina huduma ya maji ni program maalum ya... Read More
Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Kundo Methew ametembelea na kukagua ujenzi wa mradi wa maji wa miji 28 Kilwa Masoko unaojengwa kwa kutumia chanzo cha mto Mavuji unaogharimu dola za Marekeni zaidi ya Milioni 18 sawa na Bilioni 44. Mradi huo unatekelezwa na Mkandarasi kutoka Kampuni ya Afcons Infrastructure Ltd na Vijeta Projects and Infrastructure... Read More
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 12, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya. The post Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 12, 2024 first appeared on Millard Ayo.