0 Comment
Stephanie Aziz Ki amefunga bao lake la kwanza kwenye Ligi Kuu Nchini Morocco ya Botola Pro na kuisaidia Wydad AC kuibuka na ushindi wa 2-1 dhidi ya Hassania Agadir. Kwa ushindi huo Wydad Casablanca imekwea kileleni mwa msimamo wa Botola Pro wakifikisha alama 17 baada ya mechi 7 na kuiporomosha Raja AC ya Fadlu Davids... Read More

